About Us

1.ACHM ni huduma ya kikristo ya kimtandao ambayo inapokea mawazo,maombi ya watu kwa ajili ya shinda mbalimbali zinazohitaji maombi maalumu aina ya ushauri na maombi maalumu utayatuma kwenye e-mail yetu nasi tutayashughulikia kipekee.
2.Tunapatikana kilimanjaro eneo la Rombo,waweza kuwasiliana nasi kwa mawasiliano yetu yaliyokatika contact us.
3.Tunajishughulisha na kazi maalumu ya kuhakikisha tunapindua ufalme wa adui ndani ya mtu,miji na vijiji.tunamshukuru Mungu kwa ajili upako huo maalumu.


No comments:

Post a Comment